KATIBU MKUU UWT TAIFA KARIBU DODOMA MJINI.
Katibu mkuu UWT Taifa ndg Queen Mlozi leo ameripoti ktk ofisi za chama na jumuia Wilaya ya Dodoma mjini.
Baada ya kuwasili alipata fursa ya kuvishwa skafu na vijana wa green guard UVCCM.
Na kupokelewa na mwenyeji wake mwenyekiti UWT Wilaya Dodoma mjini ndg Winifrida Kario.
Ikiambatana ta shamrashamra ya kikundi cha kwaya cha Kambarage
Katibu mkuu pia alipata fursa ya kuzungumza na viongozi mbalimbali wakiongozwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini ndg Robert Mwinje
Pia ameweza ku signe kitabu cha wageni ktk ofisi ya Wilaya Dodoma mjini na kushukuru kwa mapokezi aliyoyapata.
No comments:
Post a Comment