Leo uongozi wa CCM Mkoa na Wilaya na makada mbalimbali wameshiriki mapokezi ya mlezi wa chama Mkoa wa Dodoma dada yetu bi Leyla Burhani Ngozi.
Ktk mapokezi haya mlezi wetu alipata wasaa wa kuongea na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa na Wilaya ya Dodoma mjini.
Mapokezi haya yaliongozwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma ndg Mkanwa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mkoa na Wilaya ya Dodoma mjini.
No comments:
Post a Comment