Katibu mkuu UWT Taifa ndg Queen Mlozi leo ameripoti rasmi Mkoani Dodoma na moja kwa moja kuelekea ktk ofisi za chama na jumuia Mkoa Dodoma.
Na kupokelewa na mwenyeji wake mwenyekiti UWT Mkoa Dodoma ndg Neema Majure na viongozi mbalimbali wa chama na jumuia wakiongozwa na katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma ndg Jamila Yusuf.
Pia katibu mkuu alipata fursa ya kusikikiza vikundi vya ngoma vya kina mama na ameweza kuzungumza na viongozi hao na ku signe kitabu cha wageni ktk ofisi ya Mkoa.
Amewashukuru wana Dodoma kwa mapokezi mazuri.
Hii ni ktk kutekeleza kwa vitendo uhamiaji wa ofisi za chama na serikali ktk makao makuu ya nchi Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment