Friday, November 30, 2018

SEMINA CCM DODOMA

Leo CCM Wilaya ya Dodoma mjini imeendesha semina kubwa kwa viongozi mbalimbali wa chama na jumuia zake zote ili kuongeza uhai wa chama na jumuia pia ni sehemu ya maandalizi wa chaguzi zilizo mbele yetu 2019-2020.

Pia kumekuwa na utoaji wa mada mbalimbali zilizotolewa na viongozi zihusuzo uzalendo kwa chama na nchi kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment