Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini ndg Robert Mwinje akitoa semina kwa viongozi wa chama na jumuia zake kuanzia ngazi ya tawi mpaka Wilaya.
Mwenyekiti Mwinje amehimiza uzalendo kwa chama na nchi kwa ujumla.
Pia amesisitiza kila kiongozi kwa nafasi yake kuwa na utayari tukielekea ktk uchaguzi wa 2019-2020.
Hatutovumilia wasaliti pia kundi ni moja tu la CCM na si vinginevyo, namewaasa kuwa waadilifu ktk kazi zao za kila siku.
No comments:
Post a Comment