Mbunge wa Mtera ndg Livingston Lusinde amesema mbunge Ditopile ndio mbunge wa kwanza wa viti maalum Mkoa wa Dodoma kufanya jambo kubwa kama hili la ugawaji wa pembejeo na mbegu bora za alizeti kwa Mkoa wa Dodoma, Hongera sana mbunge.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment