Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Tulia Acson amempongeza mbunge Ditopile kwa jitihada zake anayoendelea kuzitoa mara kwa mara kwa chama na jumuia zake hii Ilikuwa leo ktk uzinduzi wa ugawaji wa pembejeo na mbegu bora za alizeti kwa wakulima wa Mkoa wa Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment