Wednesday, December 5, 2018

HONGERA SANA NAIBU WAZIRI KAZI AJIRA NA MENDELEO YA VIJANA(MB) NDG ANTHONY PETER MAVUNDE

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma ndg Billy Chidabwa amemshukuru na kumpongeza kwa Naibu Waziri wa kazi na mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ndg Anthony Peter Mavunde.

Natoa pongezi hizi kwa niaba ya vijana wa Mkoa wa Dodoma kwa dhati ya moyo wangu nikiamini huu ni moja ya msaada mkubwa kutolewa na mbunge wa jimbo la Dodoma mjini.

Na hii imekuwa ni muendelezo wa utekelezaji wa ahadi zake kwakweli sina neno zuri la kusema kwa niaba ya vijana wa Mkoa wa Dodoma zaidi ya kusema asante sana pia nakukuahidi ushirikiano wa dhati ktk majukumu ya utekelezaji wa ilani ya CCM 2015-2020

Pia mwenyekiti Chidabwa amewausia wana Dodoma kulitumia kari hili kwa mahitaji yaliyokusudiwa na si vinginevyo.

Niwaombe wabunge wetu wa Mkoa wa Dodoma nao kwa nafasi zao wayaishi haya kwa vitendo kadri itakavyowezekana.

No comments:

Post a Comment