Tuesday, November 27, 2018

KATIBU MKUU CCM ATIA TIMU IHEMI

Katibu mkuu CCM Dr Bashiri Ally Kakurwa leo amefika ktk chuo cha mafunzo mafunzo kwa viongozi wa CCM na makada cha Ihemi mjini Iringa. Amekagua ukarabati unaoendelea na kuwasifia UVCCM Taifa kwa kukifugua chuo cha Ihemi.

No comments:

Post a Comment