Mbunge wa jimbo la Mtera CCM ndg Livingston Lusinde ameinasihi serikali ya Tanzani inayoongozwa na chama chake cha CCM Tanzania kuwa makini na kuvisimamia kwa umakini vyama vyote vya upinzani.
Ametoa nasaha hizo na kusiaitiza kuwa vyama vyote vya upinzani Tanzania haina sera wala dira zaidi ya kuwa vibaraka wa mabeberu.
Hivyo ameionya serikali kuwa makini na hivi vyama kwa mustakbali mwema wa nchi ya Tanzania.
Hivyo naunga mkono kwa 100% kwa ujio wa sheria mpya ya vyama vya siasa.
No comments:
Post a Comment